Msaada wa mawazo wakuu.

Msaada wa mawazo wakuu.

Abubaro D

Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
22
Reaction score
8
Salaam wakuu, mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2012, matokeo yangu ya mwanzo nilipata div III ya 23 phy-C chem-C bios-B, Na nlikuwa nampango wa kwenda kuchukua Comb ya PCB ,A-level, tatizo math nlilamba F totaly na sijui kma itabadilika hata wakfanya standrzation, Na nasikia kama umepata math F, huwez kusoma comb yoyote ya science, je kuna ukwel wowote???

, NB: Kama huna cha kujibu naomba usitumie lugha za matusi.
 
Jiandae kupata A-C ya hesabu na hayo mengine tegemea A tupu. Ila utakapo kuwa TZ one usiniache hata kwa habari. Ushauri Kama wewe una iii kwa nini usitegemee i kama lengo la Serikali ni kupunguza iv na o????????????????
 
Hahaha mkuu sipo huko, ninachowaza kma hyo F ya math haitabadilika, je nitaweza kusoma combs za science? Shukran kwa ushaur wako!
 
mi kwa ushaur wangu kama hiyo F ya math ikibadilika na kuwa D unaweza kusoma PCB, ila sasa Kama unajiona uko totaly shallow kwenye math usipokuwa makini hata BAM inaweza kukusumbua ukizingatia hautapaswa kuisoma BAM kila mara muda mwingi utaitaji kusoma masomo ya comb yako na kuhusu kutochagulia PCB kwa sababu ya F ya math sidhani kama inaweza kuwa sababu ya msingi! kwa mfano ktk masomo yako umefaulu tu hayo masomo yako matatu na mengine hukufanya vizuri, je utaacha kuchaguliwa PCB kisa una F ya math.? si kweli.
 
Shukrani kwa mawazo yako mkuu, kuna jamaa ndo walinambia hyo inshu kuwa ukibuma math, hautatakiwa kusoma masomo ya science A-Level, by da way pamoja sana mkuu!
 
Back
Top Bottom