Jhene Aiko
Member
- Jun 21, 2015
- 14
- 4
dah! mkuu pole sana kwa tz ye2, tofauti na kada ya afya na elimu zngne kupata ajra ya 1kwa1 n ngumu sana, hata ualim(elimu) kdogo wa sayanc ndo bado wanafikiriwa na bahat mbaya huna tena sayans,najua hujamalza we kaza buti ufaulu vzr zaid itakusaidia, lkn coz yenye xoko tz ni issue ya ktaifa