Jhene Aiko
Member
- Jun 21, 2015
- 14
- 4
naombeni msaada wenu wa mawazo wakuu... kipindi nikiwa o level nilipenda xana kuja kusoma cbg nikiwa advance then nije kusoma cz ya pharmacy hapo baadae nikiw chuo cha kusikitisha baada ya post kutoka mwaka 2014 nikapangwa hgl though nlikua vizur kwny combination ya cbg, sasa tatizo langu ni kuhusu course gani naweza kusomea nikiwa chuo ambayo ina soko sasa hv na mshahara wake uko vizur? imeniwia vigumu kujua nisomee nini cz combi haipo moyon japokua nafaulu vzr tu mitihani yake. kwa wale wanaojua tafadhal nisaidien