Msaada wa mawazo wanajamvi kwa wazo hili la bihashara!!!!!!

Msaada wa mawazo wanajamvi kwa wazo hili la bihashara!!!!!!

Yusuph Issa

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2013
Posts
528
Reaction score
82
Habari zenu wanajamii forum,

Najitokeza katika jukwa hili ili kuweza kupata msaada wa biashara,kiufupi kuna jamaa yangu mmoja amemaliza chuo na kapata kazi katika taasisi moja kubwa na anachukua mshahara mzuri.

So anataka kuchukua mkopo ili aweze kufungua PETROL STATION.

Msaada kwenu wanajamvi vipi biashara hii inalipa au ni risk? na kama inalipa inahitaji kiasi gani kuanzisha na hatua gani azifuate ili kuweza kufungua petrol station mkoani mbeya?!
 
kama ni jamaa yako maana yake ameshafanya utafiti muulize au ni wewe mwenyewe?
 
Mku hamjafanya utafiti?petrol station inalipa sna.
 
nenda kwenye kampuni ya oilcom, wekeza milion miatano, wape na eneo ulilochagua kwa wewe kulinunua eneo hilo, hawa jamaa wanakujengea kituo na kila kitu,baada ya hapo wanakuletea mafuta yao kisha wewe utakuwa unayauza, kila mwezi utawapa chao na faida kubaki nayo, kituo walichokujengea huwa unakatwa taratibu taratibu mpaka mwisho wanakuachia kituo kuwa mali yako na milion mia tano wanakuludishia. NB: olicom ni kampuni inayosambaza mafuta na sio kampuni inayomiliki vituo vya mafuta, kila kituo huwa kina mmliki wake.
 
Back
Top Bottom