Yusuph Issa
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 528
- 82
Habari zenu wanajamii forum,
Najitokeza katika jukwa hili ili kuweza kupata msaada wa biashara,kiufupi kuna jamaa yangu mmoja amemaliza chuo na kapata kazi katika taasisi moja kubwa na anachukua mshahara mzuri.
So anataka kuchukua mkopo ili aweze kufungua PETROL STATION.
Msaada kwenu wanajamvi vipi biashara hii inalipa au ni risk? na kama inalipa inahitaji kiasi gani kuanzisha na hatua gani azifuate ili kuweza kufungua petrol station mkoani mbeya?!