nenda kwenye kampuni ya oilcom, wekeza milion miatano, wape na eneo ulilochagua kwa wewe kulinunua eneo hilo, hawa jamaa wanakujengea kituo na kila kitu,baada ya hapo wanakuletea mafuta yao kisha wewe utakuwa unayauza, kila mwezi utawapa chao na faida kubaki nayo, kituo walichokujengea huwa unakatwa taratibu taratibu mpaka mwisho wanakuachia kituo kuwa mali yako na milion mia tano wanakuludishia. NB: olicom ni kampuni inayosambaza mafuta na sio kampuni inayomiliki vituo vya mafuta, kila kituo huwa kina mmliki wake.