Je? Biashara wanachukua watu wa hkl.
Ye yupo morogoro. Je Moro hakuna chuo anachoweza soma. Ili iwe rahisi kwake kuwa anatokea nyumbani
Ndugu yangu ana umri wa miaka 40, ameniomba ushauri wa kusoma, anataka kufanya mtihani wa six kama PC ili aende chuo kikuu. Kwa sasa yeye ni mjasiriamali na credit zake za O level ni hkl. Swali linalomsumbua ni kuwa je hiyo elimu anayotaka kuiendea itamsaidia? Au ang'ang,ane na biashara zake tu. Na iwapo atasoma na kufanikiwa kwenda chuo kikuu je achukue taaluma gani?
Hayo maswali yameniwia magumu nikaona nilete kwa great thinker mnisaidie. Nakaribisha mawazo mbalimbali lakini sio kejeri.
Ye yupo morogoro. Je Moro hakuna chuo anachoweza soma. Ili iwe rahisi kwake kuwa anatokea nyumbani
kuna jordan university mbona.na vingine vingi tu.asiogope.ubaya ni mda sasa maana atakuwa busy na biashara na kusoma kidogo,kama anasoma basi aweke mtu awe anamsaidia usimamizi alafu ndio afanye masomo kiufanisi fasta atakuwa chuo kikuu na atafulfil dreams....namshauri asome BACHELOR OF BUSINESS ADMINISTRATION MAJOR IN MARKETING),haya pia kama alipata angalau D hesabu anaweza soma hata IFM ,cbe, kwa mambo ya biashara.Ye yupo morogoro. Je Moro hakuna chuo anachoweza soma. Ili iwe rahisi kwake kuwa anatokea nyumbani
Jamaa Ana credit ngapi jumla? Kama ni tano anasifa ya kujiunga na diploma, na Kama Ana tatu anasifa ya kujuunga na cheti. Asisome six inahitaji muda mwingi sana.