GITWA
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,572
- 1,781
Ndugu yangu ana umri wa miaka 40, ameniomba ushauri wa kusoma, anataka kufanya mtihani wa six kama PC ili aende chuo kikuu. Kwa sasa yeye ni mjasiriamali na credit zake za O level ni hkl. Swali linalomsumbua ni kuwa je hiyo elimu anayotaka kuiendea itamsaidia? Au ang'ang,ane na biashara zake tu. Na iwapo atasoma na kufanikiwa kwenda chuo kikuu je achukue taaluma gani?
Hayo maswali yameniwia magumu nikaona nilete kwa great thinker mnisaidie. Nakaribisha mawazo mbalimbali lakini sio kejeri.
Hayo maswali yameniwia magumu nikaona nilete kwa great thinker mnisaidie. Nakaribisha mawazo mbalimbali lakini sio kejeri.