Msaada wa mawazo ya biashara ipi nifanye

Finder

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2016
Posts
376
Reaction score
423
Hello wananzengo
Nataka kuanza biashara ya viatu
Sasa naomba ushaur, kati ya viatu vya kike vya mtumba au spesho, au vya kiume mtumba.
Mtaji wangu n 150,000/=
Kwa wajuvi na wazoefu wa hizi biashara kwa wakati huu naombeni ushaur wenu tafafhali.
Thanks in advance.
 
Nipo Dar es Salaam, mbagala
 
Usijaribu kuota viatu 'spesho' kwa mtaji huo. Utanunua vichache vya low quality. Kwanza kwa mtaji huo huwezi safiri kwenda kufata mzigo mbali itabidi utafute chimbo la uko uliko, je ni wapi?
 
Usijaribu kuota viatu 'spesho' kwa mtaji huo. Utanunua vichache vya low quality. Kwanza kwa mtaji huo huwezi safiri kwenda kufata mzigo mbali itabidi utafute chimbo la uko uliko, je ni wapi?
Mbagala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…