Msaada wa mawazo ya ununuzi wa gari

marauyo

Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
30
Reaction score
2
Napenda kutoa salaam zangu za dhati kwa wanajamii forums wote. Pili naomba msaada wenu wa mawazo nahitaji kununua gari lakini hadi sasa hivi sijapata ufafanuzi wa kina kuhusu hili gari ninalotaka kununua. Toyota ISIS na NISSAN WINGROAD, ni aina gani ya gari kati ya hizo tajwa inayoweza kuwa nafuu kwa maintainance na matumizi ya mafuta/
Naomba mchango wenu ili niweze kufanya maamuzi, Asanteni.
 

unamaanisha Toyota IST au Toyota ISIS?anyway kama wewe ni wa kipato kidogo nunua IST,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…