Napenda kutoa salaam zangu za dhati kwa wanajamii forums wote. Pili naomba msaada wenu wa mawazo nahitaji kununua gari lakini hadi sasa hivi sijapata ufafanuzi wa kina kuhusu hili gari ninalotaka kununua. Toyota ISIS na NISSAN WINGROAD, ni aina gani ya gari kati ya hizo tajwa inayoweza kuwa nafuu kwa maintainance na matumizi ya mafuta/
Naomba mchango wenu ili niweze kufanya maamuzi, Asanteni.
Naomba mchango wenu ili niweze kufanya maamuzi, Asanteni.