Twende mojamoja katika mada... kwa kitaalamu tatizo lako linaingia katika kundi hili linaloitwa
" Impotentia generandii" ambayo humaanisha ya kwamba unauwezo wa kupiga kazi vizuri kabisa bila tatizo but kile unachokitoa (semen) hazina uwezo wa kurutubisha Yai ili kuweza kutengeneza kijusi.
Hivyo basi kuna vitu mbalimbali ambavyo huweza kupelekea tatizo la Impotentia generandii kuweza kutokea kama nitakavyoelezea hapa chini;
- Congenital and Medical causes kama vile;
- Infection kama vile orchitis and epididymitis ambayo ni inflammation/muwasho wa korodani na mirija inayosafirisha mbegu (epididymis) ambapo pia muwasho huo waweza hatarisha uzalishaji wa mbegu na pia huweza pelekea hiyo mirija kuziba na hivyo kupelekea tatizo pia magonjwa mengine ya zinaaa kama vile gonorrhea huweza hatarisha uzalishaji wa mbegu pia.
- Varicocele Hili tatizo hutokana na kuvimba kwa mishipa ya vein na artery ambayo husafirisha damu katika eneo la korodani na hivyo hupelekea kutokuruhusu kiwango maalum cha damu kufika katika korodani na hivyo kuathiri uzalishaji na uquality wa mbegu.
- Chromosome defects Kama vile Klinefelter's syndrome,Kallmann's syndrome na Kartagener's syndrome ambapo mwanaume huzaliwa na XX-Y chromosome badala ya X-Y chromososme ambapo hupelekea matatizo katika maungo ya kiume but kwa hili sidhani kama ni tatizo kwako.
- Hormone Imbalance ambapo husababishwa na tatizo katika korodani au mfumo mzima wa hormone kama vile Hypothalamus, pituitary.thyroid and adrenal gland ambapo huathiri mfumo mzima wa uzalishaji wa Testosterone Hormone ambayo hutumika katika kuzalisha mbegu za kiume.
- Matumizi ya muda mrefu wa madawa kama vile steroid drugs, anti-ulcer therapy, anti-fungal drugs and cancer medication (chemotherapy) pia yaweza kuathiri mfumo mzima wa uzalishaji wa mbegu katika korodani.
- Matumizi ya muda mrefu ya X-rays pia yaweza sababisha uzalishaji wa mbegu kuwa katika kiwango kidog0
2. Healthy and lifestyle factors
- Hapa nazungumzia unywaji wa pombe na uvutaji wa sigara kupita kiasi pia yaweza kuwa tatizo kwani hupelekea kupungua kwa uzalishwaji wa Testosterone Hormone ambayo hutumika katika uzalishaji wa mbegu
- Pia stress za muda mrefu hupelekea tatizo la uzalishaji wa mbegu kuwa duni kwani huathiri pia mfumo mzima wa hormone kama nilivyokwisha elezea hapo mwanzo.
HITIMISHO
Katika scenario ya wewe kuwa na mtoto siwezi kataa mkuu.... labda kwa kipindi hicho ulikuwa na uwezo wa kuweza kumpa mwanamke ujazito and tatizo halikuwa sugu sana kama ilivyo kwa sasa....
My intake unaweza enda Hospitali kwa vipimo zaidi ili kuweza kujua viwango vya Testosterone, Follicle stimulating Hormone (FSH), Lutenizing Hormone (LH) and Prolactin na pia wanaweza chukua
kipimo cha Anti-sperm antibodies kwani kuna baadhi ya immune system cells za mwili zinaweza ku detect sperm kama moja wapo ya invader katika mwili na hivyo kupelekea sperms kuvamiwa na kuuliwa ni hayo tu mkuu.