Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vizuri ukaeleza walau unataka nyumba yako iweje ili ile rahisi kukusaidia, hata wapi unataka kuijenga hiyo nyumba yako ni muhimu piahabari wanajamvi.....hivi milioni 15 inaweza kufanikisha kujenga nyumba?
...asante dancan...eneo ni kibada ya kigamboni....nyumba ya vyumba vitano....
Ila usikate tamaa maana nyumba haijengwi leo na kuhamia leo unaweza ukaanza kidogo kidogo mpaka itakapofika mwisho ndugu ili mradi uwe na kipato kinachoingia hata kama sio kikubwa sana, usizione hizo nyumba ukiuliza wngine wamejengaje unaweza kujiona wewe tajiri kwa maana ya kuanza na hela nyingi...asante wadau kwa msaada wenu....
habari wanajamvi.....hivi milioni 15 inaweza kufanikisha kujenga nyumba?