Lord Lofa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2011
- 2,390
- 2,396
nilipongeze hili jukwaa kwa kuwa moja ya kichocheo cha maendeleo yetu.hakuna anayependa ku fail ila uwezo ndo unatufanya tushindwe kufikia mapenzi yetu.kuna mdogo wangu anatupa headache familia amemaliza form 6 last year nje ya nchi na amefaulu vizuri akiwa na principal pass 3 katika comb ya EGM sasa tatizo hakuwa na credit pass 3 katika o-level sasa naomba ushauri anaweza kwenda chuo chochote akafanya pre entry afu akajoin kwa kozi za degree,aliseat kutafuta credit,akasome diploma natanguliza shukrani kwa wale wote watakaotoa ushauri wa mawazo