Kwa wale wenye expirience na masomo ya biashara naomba ushauri wenu..
mi nimepata div1 ya 9 ECA. Economics-C, Commerce-D, Accountancy-B
Ambition yangu kusoma BAF mzumbe if God wishes..
naombeni ushauri kama nimefanya right selection au nimebugi.. pia naombeni mnisuggestie course nzuri kulingana na grade yangu kaka zangu na dada zangu..