wakuu mi npo dar maeneo ya mbezi beach,nna hela ya ziada mil 10 nmeona niangalie fursa tofauti tofauti,nimeona biashara ya bajaji ndo rahisi kwani haitaharibu mda wa chuo masomoni.wakuu hi biashara ikoje mliopo kwenye biashasa,ina risk zipi pia?naomba ushauri wenu pia nnje ya bajaji pia opportunities labda za kuchukua simu china.