msaada wa mawazo

msaada wa mawazo

AfricaUnited

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2010
Posts
2,367
Reaction score
1,293
wakuu mi npo dar maeneo ya mbezi beach,nna hela ya ziada mil 10 nmeona niangalie fursa tofauti tofauti,nimeona biashara ya bajaji ndo rahisi kwani haitaharibu mda wa chuo masomoni.wakuu hi biashara ikoje mliopo kwenye biashasa,ina risk zipi pia?naomba ushauri wenu pia nnje ya bajaji pia opportunities labda za kuchukua simu china.
 
biashara ni nzuri hiyo inalipa kwa dar ata maeneo ya mbez beach sababu vituo vya bus na kwenye nyumba za watu kuna umbali.

hivo utapata wanaoteremka vituoni. risk yake ni sawa na biashara nyingine.

africa biashara nyingi hazina bima tofaut na ulaya & america.
 
Back
Top Bottom