Habarini za asubuhi, msaada jamani wa mawazo unahitajika, mdogo wangu amemaliza chuo mwaka jana (shahada) BAED, matokeo yake yalikuwa mazuri tu na joho amevaa, form zote zilizokuwa zikifika chuoni amekuwa akijaza kama wenzake, cha ajabu na kweli jina lake halimo kwenye ajira mpya, jamni nisaidieni mawazo, ndo katemwa, au kuna tatizogani labda na tuanzie wapi? Apa tumechanganyikiwa familia nzima na ukizingatia ndo mdogo wetu wa mwisho.