Msaada wa mawazo

Msaada wa mawazo

mtafutaji 1

Member
Joined
Aug 31, 2014
Posts
6
Reaction score
0
Nina wazo la kuanzisha shule ya sekondary, nimeshajenga darasa moja tu, kwa sasa chekechea wanasomea asubuhi, na jioni pre-form tution. Je nitapateje fund kwa ajili kujengea madarasa 7 mengine, uwanja ni heka 4 upo Mwanambaya karibu na Mkuranga.
 
Sio fundi, Ni 'FUND' yaani pesa ya kuwekeza mahali pale na kuirudisha kwa aliyetoa kwa makubaliano fulani.
 
Back
Top Bottom