Prodigal Son
JF-Expert Member
- Dec 9, 2009
- 1,068
- 711
have you got????/ maana sijaona kama kuna mtu amejibu au kutoa msaada, let me know maana mie nipo ug na ni zao ambalo kwa sasa watu wengi has toka mikoani wanalilima kwa wingi sana
in mean time acha nione kama naweza kupata hivo mbegu while i wait for your respond
wanabodi
natumaini mu wazima wa afya
ni muda sasa natafuta duka au mtu yeyote anayeuza mbegu za shairi (barley) kwa mkoa wowote Tanzania
Naomba kama kuna mtu mwenye contact anisaidie/au hata kunielekeza
natanguliza shukrani
wanabodi
natumaini mu wazima wa afya
ni muda sasa natafuta duka au mtu yeyote anayeuza mbegu za shairi (barley) kwa mkoa wowote Tanzania
Naomba kama kuna mtu mwenye contact anisaidie/au hata kunielekeza
natanguliza shukrani
...Mkuu Karatu maeneo ya Kambi ya Simba nafikiri huko watakuwa wanalima.... ngoja niongee na jamaa yangu vizuri
Hebu check na jamaa wa 'Agricultural Seed Agency'.
Wanaweza kuwa nazo, au wanaweza kukuelekeza wapi kwa kuzipata.
Website yao ni: Agricultural Seed Agency - Tanzania
Mkuu Ngamba bado sijapata,
nimehangaika saana na jana nimejaribu kulizia Balton DSM na Arusha wakaniambia nijaribu kulizia TBL nimeulizia na wao hawajaweza nisaidia, nasikia Kenya wanalima kwa wingi saana.. natafuta namna kama naweza ulizia huko
Mkuu kama unaweza niulizia hata huko UG ntafurahi saana kwani nazitafuta saana,
Natanguliza shukrani za dhati
Mkuu wewe nakuaminia sana, na kwa vile nakujua wewe ulishasema unafuga ng'ombe nahisia juu ya unachoenda kukifanya na hiyo shayiri. Jana nimeona video moja ya wakenya na wa australia wanateknolojia ya kutisha kutengeneza malisho kimea kwa hydroponics, nilipoona hizo video nikakumbuka kuna thread ya Mkuu kaulizia mbegu ya shayiri? Otherwise nakutakia all the best, in fact unatisha juu ya upeo wako wa kuona mbali sana.wanabodi
natumaini mu wazima wa afya
ni muda sasa natafuta duka au mtu yeyote anayeuza mbegu za shairi (barley) kwa mkoa wowote Tanzania
Naomba kama kuna mtu mwenye contact anisaidie/au hata kunielekeza
natanguliza shukrani
Mkuu wewe nakuaminia sana, na kwa vile nakujua wewe ulishasema unafuga ng'ombe nahisia juu ya unachoenda kukifanya na hiyo shayiri. Jana nimeona video moja ya wakenya na wa australia wanateknolojia ya kutisha kutengeneza malisho kimea kwa hydroponics, nilipoona hizo video nikakumbuka kuna thread ya Mkuu kaulizia mbegu ya shayiri? Otherwise nakutakia all the best, in fact unatisha juu ya upeo wako wa kuona mbali sana.
Mkuu heshima kwako, je una shamba la ukubwa gani?na uliulizia TBL wapi?mwanza dar arusha, mbeya au Moshi?
TBL inaweza kukusaidia kwa mbegu/madawa/fertilizer, all you need to kuongea na wahusika wa barley farms na kujua uwezo wako.kama terms hazijabadilika utaingia nao mkataba ambapo ukishalima na kuvuna wanaziangalia barley zako na kama zimefikia kiwango wanachotaka basi wanazinunua wao zote!
Wana wataalamu wa kilimo hicho ambao watakuwa willing kukushaur juu ya ukulima wako. Sema unategemea kulima shamba la ukubwa gan then I will look forward kukutafutia wahusika wa mashamba ya barley ndan ya TBL muwasiliane.
Good Luck mkuu na kilimo.
Mkuu nakushukuru kwa ushauri
ila mie nilkitaka Kupata mbegu tu sina mpango wa kuzilima/ nachokitaka nikutumia hizo mbegu kutengeneza hydroponic fodder ni changanye na mbegu Nyingine ili nitengeneze chakula cha kuwalishia mifugo wangu
Ningepata source HAO TBL wanazipata wapi azma yangu ingetimia
TBL huwa wana-import na pia kununua kwa local farmers, local farmers wanapatikana manyara kwa wingi, (Basutu, Babati na Nagwa-Katesh) pia West Kilimanjaro wapo wakulima wengi tu wa Shayiri, waweza kuwacheki maeneo hayo.
kama unahitaji chakula cha mifugo nafikir makapi ya shairi yaliyotumika kutengenezea beer yatakufaa maana hayo ndio watu wengi huwa wanachukua kwa ajili ya mifugo yao, yanaitwa Spent Grains. ili kupata hayo, fika kiwanda chochote cha TBL cha Arusha, Mwanza, Dar, ama Mbeya, huwa wanawauzia wafugaji kwa ujazo wa Tani, (i think Tani moja ni around Sh 7,000 hivi)