Msaada wa mchanganuo wa bei na miundombinu kuanzisha kituo cha mafuta (petrol station)

Mkuu
Kunakitu nimegundua,watu hawajui ku benchmark gharama za vitu, hivyo wengi wao wanafanya kuropoka tu kitu ambacho sio sahihi...
 
Mkuu
Kunakitu nimegundua,watu hawajui ku benchmark gharama za vitu, hivyo wengi wao wanafanya kuropoka tu kitu ambacho sio sahihi...
Pia watu wanapenda kukatishana tamaa na hii ipo kwenye gharama za Ujenzi wa nyumba za kuishi usipokuwa makini unaweza shindwa hata kuanza ujenzi kwa maneno ya watu. Kimsingi ni kufanya utafiti wa kina ikiwa ni pamoja na kuuliza bei kwa supplier.
 
Ni kweli.
 
Gharama ni kubwa ila hasa kama huna kiwanja na vibali. Matenki kwa Mwanza yanachongwa Usagara bei hutegemeana na tenki linachukua lt ngapi. Inaanzia ml 7-12 utahtaj tenki kutokana na mtaj wako lkn kawaida 2 -4. Paa la sheli gharama kubwa ni nguzo na baadhi ya vyuma vingine hitajika zaweza fika 70 ml . ujenzi wa ofisi na jamvi la chini n kawaida tu. Pamp digital mikono 2 n 8-15 inategemea unanunua wapi. Kwa kituo bora kabisa ni ml480 pamoja n decoration zote.. Nadhani umepata mwanga Kdogo.
 
Asante mkuu, ubarikiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…