mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Kuna aina mbalimbali za vituo vya mafuta,filling station na petrol stationBilioni mbili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna aina mbalimbali za vituo vya mafuta,filling station na petrol stationBilioni mbili
Mkuu, umenipa mwanga mkubwa kiukweli. Nimeshaonza pakuanzia.
Ni kweli maana kama ni kiwanja tayari kipo.Wanapenda kukatisha tamaa sana sijui kwa nini oooh mara viwanja bei kwan kasema anawekeza wapi labda cha urithi au mikoani huko
Asante mkuu.Pambana hadi kieleweke..
Hakuna cha milioni 700 wala bilioni 2..
Hebu tupe ufafanuzi japo kidogo mkuu.Kuna aina mbalimbali za vituo vya mafuta,filling station na petrol station
Hii Ni tabia ya sisi watanzania, mtu anakurupuka na kusema tu billion mbili. Wala hajui Kama Kuna categories za vituo, ukubwa wa Tank, mode of operation etc.
Tunapenda kijifanya tunajua kila kitu na kukatishana tamaa.
Kimsingi Kuna two category filling station au kituo kidogo eneo lake lazima liwe so chini ya 600sqm. Walau liwe na pump mbili, ukubwa wa Tank itategemea na uwezo wa mmiliki lakini so chini ya 30,000 liters.
Kuna kituo kikubwa Petrol Service station ambacho eneo lake sio chini ya 2000sqm, pump zaidi ya nne, Kuna car service, restaurant/kiosk.
Kituo kikubwa kinagharimu Kati ya 300 - 400ml kukijenga kidogo Ni Kati ya 90m - 150m kulingana na upatikanaji wa eneo na material.
Matenk Ni Kama 15m lenye ujazo wa 20,000 pump 10 - 15m.
Mafuta unaweza kuingia ubia na wasambazaji ama ukanunua na kuuza.
Kila Lita ina margin Kati ya 65 - 130.
Hivyo unaweza kufanya hesabu zako hapo
Tusikashinane tamaa.
Kama hujui kaa kimya like unachokijua hata Kama Ni kidogo sema lakini kukatishana tamaa
Pia watu wanapenda kukatishana tamaa na hii ipo kwenye gharama za Ujenzi wa nyumba za kuishi usipokuwa makini unaweza shindwa hata kuanza ujenzi kwa maneno ya watu. Kimsingi ni kufanya utafiti wa kina ikiwa ni pamoja na kuuliza bei kwa supplier.Mkuu
Kunakitu nimegundua,watu hawajui ku benchmark gharama za vitu, hivyo wengi wao wanafanya kuropoka tu kitu ambacho sio sahihi...
Ni kweli.Pia watu wanapenda kukatishana tamaa na hii ipo kwenye gharama za Ujenzi wa nyumba za kuishi usipokuwa makini unaweza shindwa hata kuanza ujenzi kwa maneno ya watu. Kimsingi ni kufanya utafiti wa kina ikiwa ni pamoja na kuuliza bei kwa supplier.
Weka exactly Amount with analysis km huyo analeta utani!!Acha utani wewe kituo Cha mafuta hakijengwi kwa pesa ya kununulia nyanya.
Mkuu, hebu sahihisha kidogo ujumbe wako ili ueleweke vizuri.Kilioni kuanzia 3000 unaweza milimo kituo cha mafuta.usiogopeshwe.
mkuu faida ni ndogo???Japo faida naona ni ndogo sana
mimi naomba niondoe mkazo ..filling station unaweza ukajenga kwa gharama ya million 700 na chinof course si chini ya hapo
nakazia
Asante mkuu, ubarikiwe.Gharama ni kubwa ila hasa kama huna kiwanja na vibali. Matenki kwa Mwanza yanachongwa Usagara bei hutegemeana na tenki linachukua lt ngapi. Inaanzia ml 7-12 utahtaj tenki kutokana na mtaj wako lkn kawaida 2 -4. Paa la sheli gharama kubwa ni nguzo na baadhi ya vyuma vingine hitajika zaweza fika 70 ml . ujenzi wa ofisi na jamvi la chini n kawaida tu. Pamp digital mikono 2 n 8-15 inategemea unanunua wapi. Kwa kituo bora kabisa ni ml480 pamoja n decoration zote.. Nadhani umepata mwanga Kdogo.
Uwe na kiwanja tayari!!With Tsh. 300M trust me you can do something...