Msaada wa mchanganuo wa bei na miundombinu kuanzisha kituo cha mafuta (petrol station)

Yaani kwa mfano NEW FORCE yeye anakusanya cash kwenye mauzo ya Tickets kila siku alafu kwangu anakuja kukopa mafuta kila siku, hiyo ni hapana , sababu kubwa ni Kampuni nyingi za binafsi Going Concern zao hazieleweki.. ,leo ipo kesho unasikia wamefilisika, mfano mzuri SHOP-RITE Supermarkets , kuna supplier mmoja wa vifungashio alikuwa anaidai karibu 200m, sasa ni wangapi wanadai hadi hivi sasa...
 
Yani jinsi unavyozungumzia hiyo biashara utafikir Ni biashara ya machungwa[emoji848][emoji4] it's cost a billions of money [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wala so kiasi hicho! Kituo kidogo chenye pump mbili na underground tanks zisizo zidi Lita 20,000 kiasi cha 60 milioni kinatosha kabisa kukupatia heshima wilayani na hata mikoani Kama mmiliki wa kituo cha mafuta.
 
Siyo lelemama! Sasa sh ngapi? Hasa ndiyo anachotaka kufahamu mtoa mada.
 
Ubarikiwe, mkuu. Tumeelimika wengi.
 
Kwani kutoka 600ml inabaki ml ngapi kufika bl moja mkuu?
 
Asante kwa mchangi wako.
 
Kwani kutoka 600ml inabaki ml ngapi kufika bl moja mkuu?
Inabaki millioni mia4. Lakini kwa muktadha wa 'komenti' yako inabakia millioni mia6!

Kwanza millioni1 pekee kuifanyia kazi mpaka iishe kwa manunuzi ya pampu na tanki yahitaji ufafanuzi na mchanganuo.

Pesa nyingi sana hizo jamani, hasa tunapozungumzia ujenzi just kisima cha mafuta!
 
Siyo lelemama! Sasa sh ngapi? Hasa ndiyo anachotaka kufahamu mtoa mada.
Yaani hadi mda huu nashindwa kuelewa kama pesa yangu inatosha ama hamna maana kila mtu na lake. [emoji56][emoji56][emoji56]
 
Uwakala wa hizi kampuni unapataje ?
 
Mwaka 2013 Gharama za kuanzisha kituo kidogo ilikua ni roughly 500M hiyo iwe ni maeneo ya porini au vijijini, kwasasa ukiadjst na inflation ongeza M kadhaa hapo, then ingia porini.
 
Mwaka 2013 Gharama za kuanzisha kituo kidogo ilikua ni roughly 500M hiyo iwe ni maeneo ya porini au vijijini, kwasasa ukiadjst na inflation ongeza M kadhaa hapo, then ingia porini.
Fafanua vizuri mkuu.
 
Mpaka Leo watu wanalipa mwisho wa mwezi. Nendo Total mlimani city uone dar lux anavojaza mafuta ya zaid ya laki tano kwa bus moja na mabasi yapo zaidi ya kumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…