Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,166
- 13,514
Ebu pata picha mtu uweke kituo cha mafuta mbezi beach,tena pembeni ya barabara hicho kiwanja utauziwa bei gani? Au Kule masaki kiwanja pemben ya barabaraHahaaa, watu hawapo serious kabisa [emoji23]