The realy Ngosha
JF-Expert Member
- Apr 22, 2013
- 340
- 529
kwani hao ndio wana miliki hayo ma temple?!
Nenda pale chang'ombe maduka mawili utaona kuna sehemu imeandikwa kuwa wanapima alergy ila pia wana hiyo huduma ya meditation.
Nahisi imepakana na ile shule ya watoto wadogo utaona ina bembea bembea (sijui kama bado ipo sijaja bongo mwaka wa 5 huu) kipindi mi nafanya meditation pale ilikuwa ni jumamosi na jumanne.
Kila la heri Mkuu
Kama unatoka chang'ombe police ni mkono wa kulia na kama unatoka mjini ni kushoto, ikiwa utatumia daladala ukishuka maduka mawili (kama unatoka chang'ombe) rudi nyuma mpaka uone bango limeandikwa homoepa..... Pia wana pima alergy ukiingia pale ndani utapata msaada unaohitaji
google mkuu .. utapata maelekezo mpaka picha..
kwani hao ndio wana miliki hayo ma temple?!
Kumuungisha or kumuelekeza wapi atapata.
Mkuu mbona hata wewe unaweza kumsaidia?
Kawe
Karibu
Na makao makuu ya Jkt kuna
Appartment
Inaitwa mlalakuwa hapo kuna
Center hiyo
Ya meditation