Msaada wa meditation temple

Msaada wa meditation temple

The realy Ngosha

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2013
Posts
340
Reaction score
529
Habari gani wana janvi?!

Kwa anayejua sehemu wanapotoa training ya meditation au meditation guid.

Hapa dar!

Natanguliza shukrani zangu za dhati!
 
Nenda pale chang'ombe maduka mawili utaona kuna sehemu imeandikwa kuwa wanapima alergy ila pia wana hiyo huduma ya meditation.

Nahisi imepakana na ile shule ya watoto wadogo utaona ina bembea bembea (sijui kama bado ipo sijaja bongo mwaka wa 5 huu) kipindi mi nafanya meditation pale ilikuwa ni jumamosi na jumanne.

Kila la heri Mkuu
 
Kama unatoka chang'ombe police ni mkono wa kulia na kama unatoka mjini ni kushoto, ikiwa utatumia daladala ukishuka maduka mawili (kama unatoka chang'ombe) rudi nyuma mpaka uone bango limeandikwa homoepa..... Pia wana pima alergy ukiingia pale ndani utapata msaada unaohitaji
 
google mkuu .. utapata maelekezo mpaka picha..
 
Eiyer and Ennie mnaweza kumsaidia huyu mdau?

kwani hao ndio wana miliki hayo ma temple?!

Kumuungisha or kumuelekeza wapi atapata.

Mkuu mbona hata wewe unaweza kumsaidia?

Nawashukuru sana wakuu kwa msaada wenu asanteni sana
 
Last edited by a moderator:
Kawe
Karibu
Na makao makuu ya Jkt kuna
Appartment
Inaitwa mlalakuwa hapo kuna
Center hiyo
Ya meditation
 
Nimepaona as per your directions wakuu, nilienda kupata intro nimepata nitaanza soon kuhudhuria darasa! Much thanks wakuu!
 
Back
Top Bottom