Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Hicho ni kisamvu cha kopo mkuu?Monday
Asubuh - Chai na Mkate wa brown usiokobolewa
Mchana - Ndizi Samaki
Usiku - Wali na Kisamvu au majani yyte
mm napendaga hvyo once a week....hizo siku nyingne ni rundomly tu.
ngoja waje wengine wajuzi wa misosi.
Sawa mkuu,wasalimie hapo RFA.1. Jumatatu: chai kwa kiporo cha wali", mchana ugali wa unga wa mtama kwa matembele: Usiku Makande
2. Juma4: chai kwa mihogo: mchana, Viazi vitamu kwa senene: Usiku, Uji wa unga wa ngano
3. Juma5: chai vitumbua: Mchana, Juice ya matembele, Usiku: Ndizi za kuchemsha bila mboga yoyote
4.
5.
Viazi vitamu kwa karanga mm napenda zaidi [emoji1]1. Jumatatu: chai kwa kiporo cha wali", mchana ugali wa unga wa mtama kwa matembele: Usiku Makande
2. Juma4: chai kwa mihogo: mchana, Viazi vitamu kwa senene: Usiku, Uji wa unga wa ngano
3. Juma5: chai vitumbua: Mchana, Juice ya matembele, Usiku: Ndizi za kuchemsha bila mboga yoyote
4.
5.
yes kuna wajasiliamari siku hizi wako Advanced sana...wana Pack unaletewa ww unapika tuHicho ni kisamvu cha kopo mkuu?
Hahah mkuu inaonekana hujaishi huku Changanyikeni kidogo,hujawahi kusikia neno KISAMVU CHA KOPO,hahahyes kuna wajasiliamari siku hizi wako Advanced sana...wana Pack unaletewa ww unapika tu
Changanyikeni ndio wapi huko chief?Hahah mkuu inaonekana hujaishi huku Changanyikeni kidogo,hujawahi kusikia neno KISAMVU CHA KOPO,hahah
Nilikua nakuzingua ila jibu lako nimelikubali aisee.
Sinza,tabata etc mkuu.Changanyikeni ndio wapi huko chief?
Sawa chiefSinza,tabata etc mkuu.
Nahuja Nahuja Nahuja,1. Jumatatu: chai kwa kiporo cha wali", mchana ugali wa unga wa mtama kwa matembele: Usiku Makande
2. Juma4: chai kwa mihogo: mchana, Viazi vitamu kwa senene: Usiku, Uji wa unga wa ngano
3. Juma5: chai vitumbua: Mchana, Juice ya matembele, Usiku: Ndizi za kuchemsha bila mboga yoyote
4.
5.
Menu yako imetulia sana, tho usiku hua napenda kula matunda tu na maji.Monday
Asubuh - Chai na Mkate wa brown usiokobolewa
Mchana - Ndizi Samaki
Usiku - Wali na Kisamvu au majani yyte
mm napendaga hvyo once a week....hizo siku nyingne ni rundomly tu.
ngoja waje wengine wajuzi wa misosi.
Matunda tu na maji...okay[emoji3]Menu yako imetulia sana, tho usiku hua napenda kula matunda tu na maji.
Wali kisamvu cha karanga na Samaki uwiiii my favourite food.
huo ulaji wa kujiandaa na pambano la masumbwi bila shaka [emoji23][emoji28][emoji23]Nahuja Nahuja Nahuja,
hii Menu mimi nitaiweza kweli!!?
Juice ya tembele mara usiku makande, viazi vitamu kwa senene uwiiii.
Yap me kunenepa noo,Matunda tu na maji...okay[emoji3]
wewe utakuwa mdau wa AntKunenepa org. hahaha kuna mtu huku nae usiku hataki kula ni matunda tu...shauri zenu!
Wali kisamvu cha karanga na Samaki [emoji39][emoji39][emoji39]
huo ulaji wa kujiandaa na pambano la masumbwi bila shaka [emoji23][emoji28][emoji23]
kula culture gal usiogopee
hahaha [emoji23][emoji28][emoji23] aiseeYap me kunenepa noo,
hahahahaha huyo mwenzangu anajielewa,
sasa jamani mchana ule makande usiku ule viazi vitamu na karanga mmh patalalika kweliii.
Hapana aiseee hiyo Menu naona kabisa ni bomu la nyuklia.
Hahaha nzuri sana hiyo, haina kolestiro hhahahahahahaahNahuja Nahuja Nahuja,
hii Menu mimi nitaiweza kweli!!?
Juice ya tembele mara usiku makande, viazi vitamu kwa senene uwiiii.
Daaha sawa bhana, ngoja nijaribuHahaha nzuri sana hiyo, haina kolestiro hhahahahahahaah
sio bure itakuwa dishi limekucheza1. Jumatatu: chai kwa kiporo cha wali", mchana ugali wa unga wa mtama kwa matembele: Usiku Makande
2. Juma4: chai kwa mihogo: mchana, Viazi vitamu kwa senene: Usiku, Uji wa unga wa ngano
3. Juma5: chai vitumbua: Mchana, Juice ya matembele, Usiku: Ndizi za kuchemsha bila mboga yoyote
4.
5.