Msaada wa MENU ya chakula kwa wiki nzima

Culture Me

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2017
Posts
10,490
Reaction score
21,398
Hi Guys,
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea, naomba kwa ajuaye Menu nzuri ya chakula kwa wiki nzima isiyojirudia plz aniambie.

Karibuni.
 
Monday

Asubuh - Chai na Mkate wa brown usiokobolewa

Mchana - Ndizi Samaki

Usiku - Wali na Kisamvu au majani yyte

mm napendaga hvyo once a week....hizo siku nyingne ni rundomly tu.
ngoja waje wengine wajuzi wa misosi.
 
1. Jumatatu: chai kwa kiporo cha wali", mchana ugali wa unga wa mtama kwa matembele: Usiku Makande
2. Juma4: chai kwa mihogo: mchana, Viazi vitamu kwa senene: Usiku, Uji wa unga wa ngano
3. Juma5: chai vitumbua: Mchana, Juice ya matembele, Usiku: Ndizi za kuchemsha bila mboga yoyote
4.
5.
 
Hicho ni kisamvu cha kopo mkuu?
 
1. Jumatatu: chai kwa kiporo cha wali", mchana ugali wa unga wa mtama kwa matembele: Usiku Makande
2. Juma4: chai kwa mihogo: mchana, Viazi vitamu kwa senene: Usiku, Uji wa unga wa ngano
3. Juma5: chai vitumbua: Mchana, Juice ya matembele, Usiku: Ndizi za kuchemsha bila mboga yoyote
4.
5.
Sawa mkuu,wasalimie hapo RFA.
 
1. Jumatatu: chai kwa kiporo cha wali", mchana ugali wa unga wa mtama kwa matembele: Usiku Makande
2. Juma4: chai kwa mihogo: mchana, Viazi vitamu kwa senene: Usiku, Uji wa unga wa ngano
3. Juma5: chai vitumbua: Mchana, Juice ya matembele, Usiku: Ndizi za kuchemsha bila mboga yoyote
4.
5.
Viazi vitamu kwa karanga mm napenda zaidi [emoji1]
 
1. Jumatatu: chai kwa kiporo cha wali", mchana ugali wa unga wa mtama kwa matembele: Usiku Makande
2. Juma4: chai kwa mihogo: mchana, Viazi vitamu kwa senene: Usiku, Uji wa unga wa ngano
3. Juma5: chai vitumbua: Mchana, Juice ya matembele, Usiku: Ndizi za kuchemsha bila mboga yoyote
4.
5.
Nahuja Nahuja Nahuja,
hii Menu mimi nitaiweza kweli!!?

Juice ya tembele mara usiku makande, viazi vitamu kwa senene uwiiii.
 
Monday

Asubuh - Chai na Mkate wa brown usiokobolewa

Mchana - Ndizi Samaki

Usiku - Wali na Kisamvu au majani yyte

mm napendaga hvyo once a week....hizo siku nyingne ni rundomly tu.
ngoja waje wengine wajuzi wa misosi.
Menu yako imetulia sana, tho usiku hua napenda kula matunda tu na maji.

Wali kisamvu cha karanga na Samaki uwiiii my favourite food.
 
Matunda tu na maji...okay[emoji3]
wewe utakuwa mdau wa AntKunenepa org. hahaha kuna mtu huku nae usiku hataki kula ni matunda tu...shauri zenu!

Wali kisamvu cha karanga na Samaki [emoji39][emoji39][emoji39]
 
Yap me kunenepa noo,
hahahahaha huyo mwenzangu anajielewa,
sasa jamani mchana ule makande usiku ule viazi vitamu na karanga mmh patalalika kweliii.
huo ulaji wa kujiandaa na pambano la masumbwi bila shaka [emoji23][emoji28][emoji23]
kula culture gal usiogopee

Hapana aiseee hiyo Menu naona kabisa ni bomu la nyuklia.
 
1. Jumatatu: chai kwa kiporo cha wali", mchana ugali wa unga wa mtama kwa matembele: Usiku Makande
2. Juma4: chai kwa mihogo: mchana, Viazi vitamu kwa senene: Usiku, Uji wa unga wa ngano
3. Juma5: chai vitumbua: Mchana, Juice ya matembele, Usiku: Ndizi za kuchemsha bila mboga yoyote
4.
5.
sio bure itakuwa dishi limekucheza
 
Back
Top Bottom