Msaada wa mfumo bora wa uongozi wa kampuni( Company Organisation Structure).

Msaada wa mfumo bora wa uongozi wa kampuni( Company Organisation Structure).

Kampuni Ikiwa ndogo tambua yafuatayo.

Mmiliki wa kampun ndo atakuwa
- Sales Manager
- IT manager
- Marketing Manager
- Store keeper.
- Receptionist
- Production manager
- Company Driver
- HR
- Director
-Some time mlinzi

hizo hapo juu Zote zitafanywa na mtu mmoja mwanzoni mwa biashara na mbele ya safari kadri unavyo tengeneza profit unaanza kuachia moja baada ya nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja sana mkuu ,na Mimi nachukua wazo lako.Mungu akubariki kiongozi
 
Back
Top Bottom