Msaada wa mimba jamani

jamani ni kosa sana kuzini nz denti iwe umetumia kinga au la. ok kwasas unachoeza kufanya ni kutumia morning after pills, ni kweli nairobi vipo na pia nafikir hata mansoor daya pharmaceticals wanawea wakawa nazo kuna wakati mtu alipataga pale. wasiliana na rafiki yko aliyeko dar akusaidie
 
Wanaharakati mpo wapi? Si lulu anaye hitaji. Msaada pekee,huyu bae wakusaidia kwa kumshitaki huyu bwana,anatembea na dent
 
Mkuu usihofu kama ilikuwa ni siku ya 15 toka amalize MP hawezi kupata mimba. MP huanza kuhesabiwa siku ya kwanza ya BLEED na kama utaanzia hapo ina mana siku mliyoduu ilikuwa siku ya 18 -20 inategemea anaona siku.
Lakini pia Bongo kuna dawa inaitwa POSTNOR2 kwa Kahama nenda Marie Stopes.
 
Acha kutaka ku ua kiumbe kisicho na hatia (kama kipo) na mbaya zaidi ni kumbuka unataka kumuua mwanao haijalishi kama amezaliwa au bado huo ni uuaji ni sawa na kuwa na mtoto mkubwa tu ukaamua kumuua
Ushauri wangu msikilizie kwanza kama ana mimba na na unaogopa kula kona tu mtakuwa mnawasiliana na ipo utakuja kuungana na familia yako hasira za wazazi zikiisha.
Halafu nani kakwambi kila ukichapa dem aliyekuwa kwenye siku zake anapata mimba? sio rahisi kama unavyofikiria
 
Siku za Hatari ni zile Mwanamke anakuwa na hamu sana tena sana na Mwanaume. Na zina dalili zake

Sasa Muulize hivi
1. Je alikuwa na hamu sana ya kufanya Ngono na Wewe siku hiyo?.. Si ile ya kumchokoza bali ya Nature ya uanamke kupata mtoto

2. Dalili nyingine huwa wanawake wengi hupanda joto la mwili na kufikia hata 40C. Je! Alikuwa anayo dalili hiyo?

3. Ute uongezeka maradufu. Yaani ulaini ukeni. Je! Uliona dalili hiyo? Maana ute huu uongezeka hata Mwanaume asipomchezea Mwanamke. Unakuwepo automatic kwa sababu ya hamu ya mwanamke.

Na kumbuka kuwa kama Yote hayo alikuwa nayo Basi uwezekano wa Mimba ni mkubwa maana Yai ndo limeiva. Lakini kama dalili hizo hazikuwepo Basi umeponea


Pia elewa hili siku zote. Tunaanza kuhesabu kuanzia siku anapata damu yake ya kwanza siyo siku anamaliza kubleed. Kwahiyo kama mzunguko wake ni siku 28 basi siku hatari ni ya 14, kama ni 30 basi ni 15, kama ni 24 ni 12. Always ni Nusu ya mzunguko wa hedhi ndipo yai linatoka


Chunguza siku zake ni Ngapi halafu nusu ya siku zake ndo siku hatari na Dalili hapo juu ndo huwa zinaanza. Na dalili hizo hudumu kwa Mda wa siku Tatu kwa wanawake wengi, na zinaisha kuashiria kuwa Yai limekufa tayari.

Nadhani umenielewa mkuu
 
Mkuu unadhani mtu anyekwenda kula good time huwa anao muda wa kuchunguza hivyo... ? Si ataulizwa unataka tunda au unafanya research ya kuandika thesis
 


Mlipo kubaliana kuzini ukutuomba ushauri, kwani ungetujulisha tungekushauri la kufanya usijikute kwenye matatizo. Sasa umeshatimiza haja yako, unatuomba ushauri.

Anway, nakusauri mkapime kama mpo salama kiafya, na baada ya hapo anza kununua nepi na jiandae kuwa Baba, na kama una mke basi mjulishe kuwa ategemee mtoto wa kufikia
:smile-big:
 
emergence contraceptive pills zinafaa na zipo hapa bongo, zinafanya kazi vizuri sana ndani ya masaa 24, but kumbuka kutembea na mtoto wa shule sikushauri hata kidogo jifikirie sana, unaogopa mimba jk ana HIV, Kaswende, gono etc hizo pia zifikirie, ukikosa dawa baada ya siku kumi hadi kumi na nne unweza kujua km imeingia au laa kwa kipimo cha mkojo, pia ataanza kujisikia tofauti ktk mwili, matiti kuanza kuuma, uchovu etc
 
ngono zembe iwe funzo kwako na kwa wadau wenye tabia kama yako,unataka umkatishe mwenzio masomo yake
 
acha uhuni mbona wewe sasikia unatembea na mwanafunzi unataka kushitaki wenzio
 

RG forever mimi mbavu sina manake inaelekea unamateknik ya kuzua magoli anyway unayo logic
 
siku nyingine uwe unafanya withdrawal km unapiga kavu
 
We unachoogopa ni kumpa mimba, mbona huogopi kama umeambukizwa ngoma? anza kujiandaa kula ARVs
 
We unachoogopa ni kumpa mimba, mbona huogopi kama umeambukizwa ngoma? anza kujiandaa kula ARVs

Mpe pilipili kichaa 2 changanya na nusu ndimu pamoja na bamia mbichi moja. Au muongezee bao lingine, likalitoe la kwanza. Ukiweza mpige bao 5 kwa leo. Hapa mimba itadunda.
 
Ningekujua uliko tu ningenunua hiyo kesi........yani unachukuwa dent kumharibia maisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…