Siku za Hatari ni zile Mwanamke anakuwa na hamu sana tena sana na Mwanaume. Na zina dalili zake
Sasa Muulize hivi
1. Je alikuwa na hamu sana ya kufanya Ngono na Wewe siku hiyo?.. Si ile ya kumchokoza bali ya Nature ya uanamke kupata mtoto
2. Dalili nyingine huwa wanawake wengi hupanda joto la mwili na kufikia hata 40C. Je! Alikuwa anayo dalili hiyo?
3. Ute uongezeka maradufu. Yaani ulaini ukeni. Je! Uliona dalili hiyo? Maana ute huu uongezeka hata Mwanaume asipomchezea Mwanamke. Unakuwepo automatic kwa sababu ya hamu ya mwanamke.
Na kumbuka kuwa kama Yote hayo alikuwa nayo Basi uwezekano wa Mimba ni mkubwa maana Yai ndo limeiva. Lakini kama dalili hizo hazikuwepo Basi umeponea
Pia elewa hili siku zote. Tunaanza kuhesabu kuanzia siku anapata damu yake ya kwanza siyo siku anamaliza kubleed. Kwahiyo kama mzunguko wake ni siku 28 basi siku hatari ni ya 14, kama ni 30 basi ni 15, kama ni 24 ni 12. Always ni Nusu ya mzunguko wa hedhi ndipo yai linatoka
Chunguza siku zake ni Ngapi halafu nusu ya siku zake ndo siku hatari na Dalili hapo juu ndo huwa zinaanza. Na dalili hizo hudumu kwa Mda wa siku Tatu kwa wanawake wengi, na zinaisha kuashiria kuwa Yai limekufa tayari.
Nadhani umenielewa mkuu