msaada wa mkataba wa kazi

Voice of Wisdom

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
537
Reaction score
240
heshima yenu wanajamvi! Poleni kwa majukumu mazito ya kuijenga nchi!
Kwa kifupi nilikuwa nafanya kazi na taasisi binafsi, katika muda wote wa kazi sikuwah kuona au kusaini mkataba wa aina yeyote kuhusu kazi yangu.
Mwezi wa mach mwaka 2013 nilipata kazi serikalini na tarehe 18 Machi niliandika barua ya kuacha kazi. Nilipouliza kuhusu mshahara wangu niliambiwa mi ndiye niliyetakiwa kuwalipa mshahara wa mwezi mmoja kwa kuvunja mkataba.
Naomba mnisaidie je nilichofanyiwa ni sawa?
 
Ni sawa ingawa unachodaiwa hapo ni nusu mshahara maana huo mwez umefaanya mpaka tar 18. Huna chako hapo labda manssf tu baada ya miez 6!!!
 
Ni sawa ingawa unachodaiwa hapo ni nusu mshahara maana huo mwez umefaanya mpaka tar 18. Huna chako hapo labda manssf tu baada ya miez 6!!!

mkataba wa kazi unasema kama unataka kuacha kazi unamlipa mwajiri wako mshahara wa mwezi mmoja na siku hiyo hiyo unasepa ( one month!s salary in lieu of notice) au unatoa notisi ya mwezi mmoja=one month!s notice in lieu of salary ( yaa utaacha kazi in one months time from the date of notice-hapa humlipi muajiri kitu kwa sababu utaendelea kufanya kazi hadi mwezi mmoja uiishe).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…