Voice of Wisdom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 537
- 240
heshima yenu wanajamvi! Poleni kwa majukumu mazito ya kuijenga nchi!
Kwa kifupi nilikuwa nafanya kazi na taasisi binafsi, katika muda wote wa kazi sikuwah kuona au kusaini mkataba wa aina yeyote kuhusu kazi yangu.
Mwezi wa mach mwaka 2013 nilipata kazi serikalini na tarehe 18 Machi niliandika barua ya kuacha kazi. Nilipouliza kuhusu mshahara wangu niliambiwa mi ndiye niliyetakiwa kuwalipa mshahara wa mwezi mmoja kwa kuvunja mkataba.
Naomba mnisaidie je nilichofanyiwa ni sawa?