U ufumawicha JF-Expert Member Joined Mar 16, 2014 Posts 504 Reaction score 209 May 10, 2014 #1 Nina uwezo wa kurudisha shilingi 105000 kwa mwezi,naweza kukopa hadi shilingi ngapi,ikiwa nitarejesha ndani ya miaka 2?Ningependa kujua ni benk gani niende?
Nina uwezo wa kurudisha shilingi 105000 kwa mwezi,naweza kukopa hadi shilingi ngapi,ikiwa nitarejesha ndani ya miaka 2?Ningependa kujua ni benk gani niende?