Msaada wa mkopo kwa anayejua!

Msaada wa mkopo kwa anayejua!

ufumawicha

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
504
Reaction score
209
Nina uwezo wa kurudisha shilingi 105000 kwa mwezi,naweza kukopa hadi shilingi ngapi,ikiwa nitarejesha ndani ya miaka 2?Ningependa kujua ni benk gani niende?
 
Back
Top Bottom