Habarini wapendwa nimekwama nahitaji msaada wenu leo ili kesho niweze kumaliza kazi ya watu.
iko hivi mimi nina ofisi ya kutengeneza viatu vya kimasai yani masai sandals ipo dar gongo la mboto kuna viatu ambavyo vimekwama kukamilika baada ya mteja wangu ambae nilitegemeaanilipe pesa ambayo ilibaki kwake ila kwa bahati mbaya amepata msiba na hela ambayo alitakiwa kunilipa leo imeshindikana kutokana yupo msibani. OFISINI KWANGU KUNA VIATU PEA 100 AMBAVYO VINAHITAJI SOLI ILI VIKAMILIKE NA GARAMA YAKE SAWA 150000 NINA FLAT TV AINA YA NOBEL NCH 30 IPO KATIKA HALI NZURI NAHITAJI KUWEKA BONDI ILI NIWEZE KUPATA MKOPO WA 150000 BAADA YA SIKU NNE NITAKU WA NIMERUDISHA PESA NIPO TAYARI KUAMBATANA NA MTU HADI KARIAKOO KUNUNUA SOLI KWAAJILI YA UAMINIFU ZAIDI NAOMBENI MSAADA WAKUU NIMEKWAMA. NAPATIKANA KUPITIA 0657623266
iko hivi mimi nina ofisi ya kutengeneza viatu vya kimasai yani masai sandals ipo dar gongo la mboto kuna viatu ambavyo vimekwama kukamilika baada ya mteja wangu ambae nilitegemeaanilipe pesa ambayo ilibaki kwake ila kwa bahati mbaya amepata msiba na hela ambayo alitakiwa kunilipa leo imeshindikana kutokana yupo msibani. OFISINI KWANGU KUNA VIATU PEA 100 AMBAVYO VINAHITAJI SOLI ILI VIKAMILIKE NA GARAMA YAKE SAWA 150000 NINA FLAT TV AINA YA NOBEL NCH 30 IPO KATIKA HALI NZURI NAHITAJI KUWEKA BONDI ILI NIWEZE KUPATA MKOPO WA 150000 BAADA YA SIKU NNE NITAKU