Msaada wa mkopo wa 150000

Msaada wa mkopo wa 150000

igihumbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2017
Posts
529
Reaction score
483
Habarini wapendwa nimekwama nahitaji msaada wenu leo ili kesho niweze kumaliza kazi ya watu.
iko hivi mimi nina ofisi ya kutengeneza viatu vya kimasai yani masai sandals ipo dar gongo la mboto kuna viatu ambavyo vimekwama kukamilika baada ya mteja wangu ambae nilitegemeaanilipe pesa ambayo ilibaki kwake ila kwa bahati mbaya amepata msiba na hela ambayo alitakiwa kunilipa leo imeshindikana kutokana yupo msibani. OFISINI KWANGU KUNA VIATU PEA 100 AMBAVYO VINAHITAJI SOLI ILI VIKAMILIKE NA GARAMA YAKE SAWA 150000 NINA FLAT TV AINA YA NOBEL NCH 30 IPO KATIKA HALI NZURI NAHITAJI KUWEKA BONDI ILI NIWEZE KUPATA MKOPO WA 150000 BAADA YA SIKU NNE NITAKU
IMG-20190430-WA0040.jpg
WA NIMERUDISHA PESA NIPO TAYARI KUAMBATANA NA MTU HADI KARIAKOO KUNUNUA SOLI KWAAJILI YA UAMINIFU ZAIDI NAOMBENI MSAADA WAKUU NIMEKWAMA. NAPATIKANA KUPITIA 0657623266
 
Dah hela hii nje nje sema mie sipo dar... Ningekukopesha
shukrani mkuu ila kama una ndugu dar na umewiwa na hili jambo angekuja kupaona ninapo ishi na ofisi ilipo kisha tukafanya makubaliano nimekwama ndugu tafadhari nisaidie nakuakikishia uaminifu mkuu.
 
Mm naomba niulizie hizo sendo...
Je ni full ngozi au
Ngozi ni kwenye mikanda ila kapet ni plastv/swapa?
Kwa jumla una uzajee?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wapendwa nimekwama nahitaji msaada wenu leo ili kesho niweze kumaliza kazi ya watu.
iko hivi mimi nina ofisi ya kutengeneza viatu vya kimasai yani masai sandals ipo dar gongo la mboto kuna viatu ambavyo vimekwama kukamilika baada ya mteja wangu ambae nilitegemeaanilipe pesa ambayo ilibaki kwake ila kwa bahati mbaya amepata msiba na hela ambayo alitakiwa kunilipa leo imeshindikana kutokana yupo msibani. OFISINI KWANGU KUNA VIATU PEA 100 AMBAVYO VINAHITAJI SOLI ILI VIKAMILIKE NA GARAMA YAKE SAWA 150000 NINA FLAT TV AINA YA NOBEL NCH 30 IPO KATIKA HALI NZURI NAHITAJI KUWEKA BONDI ILI NIWEZE KUPATA MKOPO WA 150000 BAADA YA SIKU NNE NITAKUView attachment 1325045WA NIMERUDISHA PESA NIPO TAYARI KUAMBATANA NA MTU HADI KARIAKOO KUNUNUA SOLI KWAAJILI YA UAMINIFU ZAIDI NAOMBENI MSAADA WAKUU NIMEKWAMA. NAPATIKANA KUPITIA 0657623266
Njoo pm ndugu
 
Kama uko tayari tuingie makubaliano unipe sandals kadhaa nikupe pesa njoo pm
 
baada ya siku 4 bado hujapata hiyo pesa na riba yake inakuwaje hapo . huoni kwamba utakuwa ni kama umemuuzia mtu hiyo flat tv kwa 150k? tu na haikuwa dhumuni la mkopeshaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
baada ya siku 4 bado hujapata hiyo pesa na riba yake inakuwaje hapo . huoni kwamba utakuwa ni kama umemuuzia mtu hiyo flat tv kwa 150k? tu na haikuwa dhumuni la mkopeshaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
hapana mkuu huu mzigo tayar una oda tayar kwa hiyo nina uhakika wa kuuza mara tu ninapo pata hiyo pesa
 
Back
Top Bottom