Msaada wa mkopo wa Tsh ml.20, nitarudisha ml.22.5 ndani ya siku 30

Msaada wa mkopo wa Tsh ml.20, nitarudisha ml.22.5 ndani ya siku 30

mluhilamkuu

Member
Joined
Dec 8, 2014
Posts
50
Reaction score
25
Wana Jukwaa Salaam kwenu
Nina shida ya dharula na ya haraka sana ya Tsh. Ml. 20. Kuna project yangu moja imekwama na inahitaji pesa ya haraka sana. Nitarudisha ndani ya siku 30 kutoka siku nitakayopokea kwa interest ya 2.5 hivyo nitarudisha Tsh Ml.22,500,000/
Dhamana naweka Nyumba yangu moja pamoja na Hati yake Original. Nyumba ipo Mivumoni, Dar es Salaam na kwa makisio ya harakaharaka ina thamani ya zaidi ya Tsh Ml. 80. Ukubwa wa eneo ilipo nyumba ni Square Meter 1200.
Mwenye uwezo wa kunisaidia naomba tuwasiliane kwa namba ya simu 0654 998326
Natanguliza Shukrani, Mbarikiwe
 
Mkuu benki mbona zipo kwa ajili yenu? Mtu una nyumba, tena ina hati kabisa unaogopa nini kwenda benki? Utakuwa tapeli Wewe, unataka mtu akupe hela Wewe umpe hati fake maana unajua benki watafuatilia mpaka kwa msajili Wa hati ili kujiridhisha, kitu ambacho raia hawezi kufanya!! Maana huwezi kuomba kurejesha milioni zote hizo halafu udai kwamba benki hawawezi kukupa eti kwa vile huna biashara, tapeli Wewe!
 
Join Date : 8th December 2014
Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received 0
Likes Given 0

kwa haraka haraka uyu jamaa undefined mil 20 afu kwa riba 2.5? wakat benk wananad kila cku mikopo ya riba nafuu, iyo project ina unyet wa kias gan?
 
n? Na je kama ninayo afu nipo mbali dar? INAWEZEKANA UKAWA MWAMINIFU NDIO, ILA HI SIO SEHEMU SALAMA YA KUOMBA MKOPO SABABU UNAWEZA TAPELIWA PIA..... NENDA kwa andrew chenge au tegeta hapo mkombozi watakuelewa akina kaka jambazi msimu huu wako mapumziko.
 
Wana Jukwaa Salaam kwenu
Nina shida ya dharula na ya haraka sana ya Tsh. Ml. 20. Kuna project yangu moja imekwama na inahitaji pesa ya haraka sana. Nitarudisha ndani ya siku 30 kutoka siku nitakayopokea kwa interest ya 2.5 hivyo nitarudisha Tsh Ml.22,500,000/
Dhamana naweka Nyumba yangu moja pamoja na Hati yake Original. Nyumba ipo Mivumoni, Dar es Salaam na kwa makisio ya harakaharaka ina thamani ya zaidi ya Tsh Ml. 80. Ukubwa wa eneo ilipo nyumba ni Square Meter 1200.
Mwenye uwezo wa kunisaidia naomba tuwasiliane kwa namba ya simu 0654 998326
Natanguliza Shukrani, Mbarikiwe

Mkuu una Nyumba ambayo ina hati original kwanini usiende bank?
Ila benki lazima wafuatilie hiyo hati yako mpaka iliposajiliwa wizara ya ardhi, pia watafika home kuja kuitathimini hiyo nyumba yako. Kuna ka-process kidogo lakini ukufanikiwa kuchukua mkopo wa kwanza mikopo inayofuata ni kama kumsukuma mlevi yaani unachukue mkopo wako fasta kwa sababu wanakuwa sasa wanakufahamu.
Kitu kingine benki wanachoangalia sana ni uhakika wa kulipa yaani lazima uwe na kipato kinachoeleweka kutoka kwenye biashara au uwe umeajiriwa na kampuni inayoeleweka.
Fanya hima mkuu nenda benk acha kukalia uchumi huo.
jamiisms2.jpg
 
Benki lazima waijue biashara unayofanya na wajilizishe kwamba itakuwezesha kurunisha mkopo lazima iwe biashara halali.
 
kigeni cha mtandao ichi wewe jf haipo ivo embu badilika si kuja kuji tutumua uku kwa mwezi unapata mili20 kaz ipi uje ukope uku una uhakika gani kama una chat na watu kweli au majini pita ivi nyie wageni acheni pupa mnatuharibia mtandao wetu. mada fanta wee.
 
Back
Top Bottom