Msaada wa mkopo

Chiuja

Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
84
Reaction score
24
Habari wana jf jamani mimi nimemaliza chuo nimehangaika sana kutafuta kazi bila mafanikio, nimebahatika kupata tili za mpesa na,tigo pesa sasa nauliza jamani kama kuna mahali naweza kupata mkopo japo wa laki tano niweze kuzungusha hiyo biashara nina frem tayari ila sina dhamana yoyote kama kuna mtu anaweza nipa mawazo ktk hilo, natanguliza shukrani..
 
tafta business partner mshirikiane. mkopo sio mzuri kwa biashara inayoanza. ni ushauri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…