Habari wana jf jamani mimi nimemaliza chuo nimehangaika sana kutafuta kazi bila mafanikio, nimebahatika kupata tili za mpesa na,tigo pesa sasa nauliza jamani kama kuna mahali naweza kupata mkopo japo wa laki tano niweze kuzungusha hiyo biashara nina frem tayari ila sina dhamana yoyote kama kuna mtu anaweza nipa mawazo ktk hilo, natanguliza shukrani..