K kajeje Member Joined May 29, 2017 Posts 83 Reaction score 68 Jun 29, 2021 #1 Wandugu nna rafiki yangu kaniomba msaada wa kumuandalia menyu ya wiki nzima kwasababu hapendi kula. Naomba msaada tafadhali
Wandugu nna rafiki yangu kaniomba msaada wa kumuandalia menyu ya wiki nzima kwasababu hapendi kula. Naomba msaada tafadhali
captain 21 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2021 Posts 585 Reaction score 1,185 Jun 29, 2021 #2 kajeje said: Wandugu nna rafiki yangu kaniomba msaada wa kumuandalia menyu ya wiki nzima kwasababu hapendi kula. Naomba msaada tafadhali Click to expand... Hapendi kula huku tena tumuandalie Menu duh!! bado sijaelewa hapo mkuu
kajeje said: Wandugu nna rafiki yangu kaniomba msaada wa kumuandalia menyu ya wiki nzima kwasababu hapendi kula. Naomba msaada tafadhali Click to expand... Hapendi kula huku tena tumuandalie Menu duh!! bado sijaelewa hapo mkuu
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,355 Reaction score 14,408 Jun 29, 2021 #3 kajeje said: Wandugu nna rafiki yangu kaniomba msaada wa kumuandalia menyu ya wiki nzima kwasababu hapendi kula. Naomba msaada tafadhali Click to expand... Sisi wapenda misosi tukomment wapi??
kajeje said: Wandugu nna rafiki yangu kaniomba msaada wa kumuandalia menyu ya wiki nzima kwasababu hapendi kula. Naomba msaada tafadhali Click to expand... Sisi wapenda misosi tukomment wapi??
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,021 Reaction score 79,710 Jun 29, 2021 #4 kajeje said: Wandugu nna rafiki yangu kaniomba msaada wa kumuandalia menyu ya wiki nzima kwasababu hapendi kula. Naomba msaada tafadhali Click to expand... Sasa kama hapendi kula unataka umuandalie menu ya nini?
kajeje said: Wandugu nna rafiki yangu kaniomba msaada wa kumuandalia menyu ya wiki nzima kwasababu hapendi kula. Naomba msaada tafadhali Click to expand... Sasa kama hapendi kula unataka umuandalie menu ya nini?
Madame S JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 17,171 Reaction score 34,394 Jun 29, 2021 #5 nikajua mtoto nimekuja mbiombio kumbe mtu mzima na nywele zake