Msaada wa mtu anayefanya kazi Muhimbili

Msaada wa mtu anayefanya kazi Muhimbili

mind ur bussness

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2016
Posts
1,050
Reaction score
741
Jaman nna mgonjwa wangu nimekuja kutibiwa hapa mhimbili so naomba kama kuna mtu humu anafanya kazi hapa, naomba tuwasiliane anipatie mwongozo wa namna ya kupata matibabu kwa haraka,

Au hata yeye pia akijitoa kunisaidia sio mbaya,

Tutaelewana tu.

Ahsanten.
 
Unataka utoe ka hela ili upate msaada wa haraka eh? Je, waliotoka makwao usiku usiku?
Hii dunia ni kama mchezo wa mpira,,

Tunashinda hata kwa goli la mkono...

Sio tung'ang'ane na miguuu[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Back
Top Bottom