Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Uhamisho wa ndani ya halmashauri,ndani ya mkoa na nje ya mkoa.Wew ni upi?Wakubwa heshima kwenu, naomba kusaidiwa muundo wa barua ya uhamisho.
Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi nataka nahama kutoka Halmashauri moja kwenda nyingine
Binafsi sifahamu njia za kupitia ili nifanikiwe kwa haraka. Natanguliza shukrani za dhati kabisa
Nje ya mkoaKuna Uhamisho wa ndani ya halmashauri,ndani ya mkoa na nje ya mkoa.Wew ni upi?
Kwanza kabisa lazima uombe nafasi sehemu unapotaka kuhamia kisha utakapopata hiyo nafasi kwa barua unaiambatanisha kwenye barua ya mwisho ya kuomba kuhama.Nje ya mkoa