Msaada wa muungozo wa ufanayaji biashara na chuo

Msaada wa muungozo wa ufanayaji biashara na chuo

george kessy

Member
Joined
Jun 24, 2017
Posts
56
Reaction score
75
Habari wakuu

nadhani kila biashara inahitaji muda ili kuweza kusimama ,na tunapo kuwa chuoni inatuwia vigumu sana kufanya biashara haswa zile kubwa kwa sababu ya muda kubana!

na nilijiuliza swali je muda wa likizo huwa naangalia fursa zilizopo nakuweza kuzifanyia kazi?

kwa mfano :

1.biashara ya chips
2.biashara ya restaurant
3.kilimo
4.biashara ya saloon
5.kuuza nguo

nieleze kidogo juu ya biashara ya kuuza chips

Biashara ya chips
-
hii inahitaji usimamiz wa hapo kwa hapo kwa muda fulani! ili kuweza kujua mzunguko wa pesa mahali husika,na pia kuona na kupambana na changamoto mbali mbali, kwa sisi wanachuo tukitenga ule muda wetu wa likizo na kufungua biashara kama hii itatusaidia kuweza kupambana vilivyo na kujua mengi bila kuathiri muda wetu,mfano kuisimamia biashara hii kwa muda wa week 1-2 ili kuifahamu kiundani coz wengi wetu ni wageni! nimefanikiwa kuona ule uzi wa juu ya kuanzisha biashara hii,unamengi ya kufundisha


kwa ezo zingine naomba msaada kwa wazoefu waliowahi fanya izo issue hapo juu na pia ningeomba msaada pia wa kujaza nyama katika maelezo hayo ya biashara ya chips .

nimetanguliza biashara nyingi za vyakula kwa sababu kuna ulazima wakula!

ningependa kupata msaada zaidi juu ya hizo zilizobaki ushauri na maoni


nawasilisha
 
Lazima ukubaliane na Hali halisi kwamba biashara na chuo inategemeana na wewe akili yako ikoje...vinginevyo either ukubali ubase zaidi kwenye biashara au shule..Ila vyote viwili vikienda pamoja lazima kunakimoja hakitafanya vizuri


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom