Msaada wa mwanaJF anayefanya kazi Wizara ya TAMISEMI

Msaada wa mwanaJF anayefanya kazi Wizara ya TAMISEMI

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
9,013
Reaction score
10,034
Wakuu poleni na kazi

Naitaji msaada wa mwanaJF yeyote ambae anafanya kazi wizara ya TAMISEMI

Nina Jambo langu moja nahitaji msaada wa kujua.

Naomba anipm kama yupo.
 
Waalimu mtaani kwenu hakuna? Au hujui kama wanafanya kazi ndani ya TAMISEMI anyway mtafute Luka Msambwanda kwa humu JF umueleze majanga yako.
 
Back
Top Bottom