Msaada wa mwanasaikolojia

Msaada wa mwanasaikolojia

GIUSSEPE

Senior Member
Joined
May 12, 2011
Posts
126
Reaction score
34
habarini wanajamvi...wandugu naomba msaada kwa anayejua psychologist wa kuaminika hapa dar anayeweza kunisaidia tatizo langu...tatizo langu ni kwamba siku hizi nawahi sana kukojoa ktk kujamiiana na naamini ni suala la kisaikolojia kutokana na matukio kadhaa kabla ya tatizo hili kunipata...nimejitahidi kusoma ushauri wa watu ktk threads za suala hili lakin bado sijapata ufumbuzi,sasa nahitaji kuonana na mwanasaikojia maana nazidi kukosa confidence hali ndo inazidi kuwa mbaya zaidi...Naombeni msaada kwa anayejua mtaalam wa mambo haya. Asanteni.
 
Fata moyo wakoo brother hakuna watakacho kuambia ambacho hukijui.. Fanya uamuzi sahihi
 
Fata moyo wakoo brother hakuna watakacho kuambia ambacho hukijui.. Fanya uamuzi sahihi
Asante kwa ushauri wako mkuu...lakin bado nahitaj kubadili approach ya kutatua tatizo hli coz litazid kuwa sugu nikilichukulia poa bila kuongea na wataalam wa mambo haya...offcoz nimesoma sehem nyng khs suala hili bt bdo cjaona mafanikio ya kuridhisha...mayb nikiongea nao physically nitapata kitu kipya kutokana na situation yangu
 
Pole Bro Hata Mm Mara Ya Kwanza Nilikuwa Na Tatizo Kama Lako Lakini Nilifuata Utalatibu Wa Kitaalamu Kwamba Kila Unapo Anza Usianze Kwa Pupa Anza Kwa Mshika Hata Dakika 20 Na Baadae INgiza Talatibu Baadae Ondoa Mawazo Ya Kitendo Hicho
 
Pole Bro Hata Mm Mara Ya Kwanza Nilikuwa Na Tatizo Kama Lako Lakini Nilifuata Utalatibu Wa Kitaalamu Kwamba Kila Unapo Anza Usianze Kwa Pupa Anza Kwa Mshika Hata Dakika 20 Na Baadae INgiza Talatibu Baadae Ondoa Mawazo Ya Kitendo Hicho
Mkuu hapo kwenye kuondoa mawazo ya kitendo hcho umenigusa kwan ni moja ya vitu ninavyostruggle navyo,kiufupi tatizo langu kubwa ni wasiwasi wa kutoperform vizuri na najikuta kwel inakuwa hvyo,nimejitahid kuondoa hal hiyo kwa ushauri mbalmbal ninaosoma hapa lakin improvement si nzuri sana...kinachoniuma ni kuwa nilikuwa na uwezo mzuri sana lkn all of a sudden mambo yakabadilika baada ya matukio fulan yaliyonifanya nikose confidence ktk tendo...kuhusu kumuandaa mwanamke vizuri niko vizur sana na cna papara...naamin tatizo langu ni very minor psychological problem ila nimeshindwa kujinasua so nw nataka kuongea na psychologist...
 
Kutambua ugonjwa na tiba yake bhas we ushapona.,ila kale kamchezo kanaachka bla dr. Mazoez kwa sn
 
habarini wanajamvi...wandugu naomba msaada kwa anayejua psychologist wa kuaminika hapa dar anayeweza kunisaidia tatizo langu...tatizo langu ni kwamba siku hizi nawahi sana kukojoa ktk kujamiiana na naamini ni suala la kisaikolojia kutokana na matukio kadhaa kabla ya tatizo hili kunipata...nimejitahidi kusoma ushauri wa watu ktk threads za suala hili lakin bado sijapata ufumbuzi,sasa nahitaji kuonana na mwanasaikojia maana nazidi kukosa confidence hali ndo inazidi kuwa mbaya zaidi... msaada kwa anayejua mtaalam wa mambo haya. Asanteni.

ءkabla ya[/]
 
I MEAN Kabla ya kutafuta Psychologist soma makala za Dinahicious.blogsport.com utasaidika.
 
Back
Top Bottom