Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,529
- 6,095
Subiri wajuzi wanakuja, sijui kwanini uzi umekosa watu huu?Wakuu Kwanza nitangulize Shukrani,salam kwenu pia
Nna ndoto za kufanya biashara ya mazao kutoka Mbeya kuja Dar,je nini changamoto na kitu cha kuzingatia? Nna mtaji wa milion 3 je inawezekana Kwa kiasi hicho cha mtaji.
Ushauri kabla sijamtukana Boss ofisini.
Subiri wajuzi wanakuja, sijui kwanini uzi umekosa watu huu?
Ungesema jana ulikua na malaya ungekuta comments za kutosha
Kabla ya ushauri wa kibiashara..nakushauri usimtukane huyo bosi wako, hata kama anakukera mno beyond ustahimilivu.
Pili, fanya tafiti ni zao lipi kwa mtaji huo utaweza safirisha modestly and perishability yake sio kubwa in most cases.
Nafahamu mbeya pana mpunga(mchele), viazi mviringo, kiriiimoroo na ndizi etc. So jipe muda kidogo kutafakari unachotaka kusafirisha, identify soko lilipo then fanya. Angalizo: do not aim for super profit unapoanza utajikuta unafunguliwa jalada milembe.
Biashara ya mazao hasa nafaka faida zake kwa unit ni ndogo sana.
Kwa sababu hiyo unatakiwa kukuza faida (maximize profit) kwa kuuza kiasi kingi cha mazao (high volume).
Hii ina maana kuwa unatakiwa kuwa na mtaji mkubwa.
Shilingi 3m hazitoshi kukuletea faida ya haraka kwa kuyasafirisha mazao toka sehemu moja kwenda ingine.
Kwa kiasi cha chini sana cha kuanzia unatakiwa uwe na uwezo wa kununua mazao ya kutosha kujaza lori la tani 30.
Kwa mfano kama unanunua mahindi mikoa ya Kusini kwa bei ya shilingi 600 kwa kili, unatakiwa kuwa na shilingi 18,000,000 kuweza kujaza lori. Gharama zingine pia ni kama vifungashio, kupakia, kushusha, usafiri, ushuru na gharama zako mwenyewe.
Kitu muhimu sana cha kuzingatia wakati wa kununua mazao ni ubora wake.
Ubora wa nafaka yoyote unazingatia vitu vifuatavyo.
1. Moisture content ( nafaka nyingi haitakiwi kuzidi 13%)
2. Colour grade
3. Free from mould
4. Free from foreign matter
5. Standard grain size
6. No odor smell
etc
Pia kitu kingine cha kuzingatia ni kujua bei ya soko unakota kwenda kuuza mazao yake na ufanye mchanganuo ( costing) ili ujue ni kiasi gani cha faida utapata kwa kwenda kuuza mazao yako.
Hii biashara ya mazao ina hatari nyingi (high risks) za kupoteza pesa zako zote kutokana na vitu vifuatavyo.
1. Kuharibika kwa mazao wakati yanasafirishiwa, kwa mfano kunyeshewa mvua au kuingia maji.
2. Mazao kulowana kwa mafuta kama diesel au mafuta ya taa
3. Kuanguka kwa Bei.
4. Wizi.
5. Kutapeliwa na madalali
6. Mazao kuharibika kwenye ajali ya lori lililobeba mazao.
etc
Nakushauri usijiingize kwenye biashara ya mazao kama huna uwezo wa kutatua changamoto zilizotajwa hapo juu.
Ungana na mtu mwaminifu na mwenye uelewa wa biashara hii ili akufundishe na kukuelimishe kabla hujabaki mwenyewe.
umemshauri vizuri lakini umekosea kumwambia mtaji wake mdogo anauwezo hata wakuanza na gunia 10 au 20Biashara ya mazao hasa nafaka faida zake kwa unit ni ndogo sana.

DU HATARIBiashara ya mazao hasa nafaka faida zake kwa unit ni ndogo sana.

Tafuta maduka 20 dar, kila mmoja mpatie gunia 1 kwa mkopo na mkubaliane kwenye malipo;kuhusu kutoka mbeya hadi dar,angalia wapi watakuuzia kwa bei nzuri,jumlisha na garama za usafiri;ila inahitaji utafiti..
habar mtoa mada nimependa wazo lako ngoja nikushirikishe kitu
mim ni mfanya biashara mdogo dar es salaam katika soko la nafaka tandika biashara yangu kubwa ni.
Mchele
maharage
mahindi
yani full manafaka kila biashara ina changamoto zake ni vitu vya kawaida
pesa ambayo wew unayo mlion 3 inatosha kwa kuanzia cha msingi ni kufanya utafiti wa kina huku ulipo katika nafaka biashara ya mchele ndiyo nzuri kwamaana mchele unapanda samani kila siku kwa mfano mda wa mavuno debe utanunua
5000-6000 * 400= 2400000
hapo umenunua mpunga wako debe 400 ambazo ni sawa na mpunga kilo 7200
sas utaenda kukoboa kilo 7200*50=360000
uwezi kosa kilo za mchele 3600 hadi 4000
sas hapo unasafilisha kuja dar kuuza kilo 4000 usafilishaji 600000 mpaka unafika kwenye Masoko ya nafaka dar tandare tandika mbagara wew tu kwenye kushusha
sas tuje sokoni sehem utapo uza na kuhifazi mzigo wako utalipia kila kilo 50 utazidisha mara kilo zako 4000 utapata 200000
sas ule mchele wako utauza kilo 1300 * 3600= 4 680000 ukito garama zako zote
mpunga 2 400000
kukoboa 360000
kusafirisha 600000
hifazi ya store 200000
akiba weka 150000
jumla ==== 3710000
faida. .........970000
kwa maelezo zaid nicheck 0716527686
Hesabu nzuri ila jamaa kasema ana M3 hapo jumla ni M3.7
Nakuja pm khadija mandingohabar mtoa mada nimependa wazo lako ngoja nikushirikishe kitu
mim ni mfanya biashara mdogo dar es salaam katika soko la nafaka tandika biashara yangu kubwa ni.
Mchele
maharage
mahindi
yani full manafaka kila biashara ina changamoto zake ni vitu vya kawaida
pesa ambayo wew unayo mlion 3 inatosha kwa kuanzia cha msingi ni kufanya utafiti wa kina huku ulipo katika nafaka biashara ya mchele ndiyo nzuri kwamaana mchele unapanda samani kila siku kwa mfano mda wa mavuno debe utanunua
5000-6000 * 400= 2400000
hapo umenunua mpunga wako debe 400 ambazo ni sawa na mpunga kilo 7200
sas utaenda kukoboa kilo 7200*50=360000
uwezi kosa kilo za mchele 3600 hadi 4000
sas hapo unasafilisha kuja dar kuuza kilo 4000 usafilishaji 600000 mpaka unafika kwenye Masoko ya nafaka dar tandare tandika mbagara wew tu kwenye kushusha
sas tuje sokoni sehem utapo uza na kuhifazi mzigo wako utalipia kila kilo 50 utazidisha mara kilo zako 4000 utapata 200000
sas ule mchele wako utauza kilo 1300 * 3600= 4 680000 ukito garama zako zote
mpunga 2 400000
kukoboa 360000
kusafirisha 600000
hifazi ya store 200000
akiba weka 150000
jumla ==== 3710000
faida. .........970000
kwa maelezo zaid nicheck 0716527686
Shukrani mkuu unachukuliwa wapi huo mchele maana Mbeya mpaka dar mbali vp unakaa nao muda gani, na kodi hapo sokoni kwa ajili ya kuuzia mbona huja mwambia jamaahabar mtoa mada nimependa wazo lako ngoja nikushirikishe kitu
mim ni mfanya biashara mdogo dar es salaam katika soko la nafaka tandika biashara yangu kubwa ni.
Mchele
maharage
mahindi
yani full manafaka kila biashara ina changamoto zake ni vitu vya kawaida
pesa ambayo wew unayo mlion 3 inatosha kwa kuanzia cha msingi ni kufanya utafiti wa kina huku ulipo katika nafaka biashara ya mchele ndiyo nzuri kwamaana mchele unapanda samani kila siku kwa mfano mda wa mavuno debe utanunua
5000-6000 * 400= 2400000
hapo umenunua mpunga wako debe 400 ambazo ni sawa na mpunga kilo 7200
sas utaenda kukoboa kilo 7200*50=360000
uwezi kosa kilo za mchele 3600 hadi 4000
sas hapo unasafilisha kuja dar kuuza kilo 4000 usafilishaji 600000 mpaka unafika kwenye Masoko ya nafaka dar tandare tandika mbagara wew tu kwenye kushusha
sas tuje sokoni sehem utapo uza na kuhifazi mzigo wako utalipia kila kilo 50 utazidisha mara kilo zako 4000 utapata 200000
sas ule mchele wako utauza kilo 1300 * 3600= 4 680000 ukito garama zako zote
mpunga 2 400000
kukoboa 360000
kusafirisha 600000
hifazi ya store 200000
akiba weka 150000
jumla ==== 3710000
faida. .........970000
kwa maelezo zaid nicheck 0716527686
Umbali kivip mbona cjakuelewa hapoShukrani mkuu unachukuliwa wapi huo mchele maana Mbeya mpaka dar mbali vp unakaa nao muda gani, na kodi hapo sokoni kwa ajili ya kuuzia mbona huja mwambia jamaa
Bado upo na biashara hii vp laki 8 inatoshsUmbali kivip mbona cjakuelewa hapo
Nakuhusu kukaa sokoni ni fasta tu maana mchawi kuwa na mchele mzuri tu kwa mfano saizi mchele umepanda bei ya wa bei che 1500