Msaada wa mwongozo wa biashara

Msaada wa mwongozo wa biashara

creedfx

Member
Joined
Jun 24, 2022
Posts
89
Reaction score
41
Ni shida ya vijana wengi wa Taifa langu pendwa la [emoji1241] kwani watu tunasoma hadi elimu ya juu lakin bahati mbaya hatujui tunaenda soma nini baada ya kuhitimu sana sana kwa masomo mageni kama economics accountancy na masomo mengine ambayo ndo tunatakuta elimu ya juu

Dah kwa bahati mbaya huu mtego haujajiacha salama nimejaribu kusoma literature review nikapata majina ya kozi nyingi sana na vyuo ila mpaka sasa sijui kozi ipi niisome

Kwanza niehitimu kwenye tahasusi ya EGM na napenda sana masuala ya odditing bank na industry work ila sijui kozi gani itanisaidia kufika huko ninapo patamani

Naombeni msaada wa ushauri hata kama ni kwa njia ya maswali itapendeza

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom