Msaada wa nacte application kwa mtu wa diploma

Sasha7

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2014
Posts
233
Reaction score
56
Waungwana habari zenu..nina Ndugu yangu amepatwa na tatizo katika suala zima la kufanya application za vyuo yeye ana Diploma na anataka kujiongeza kuelekea kwenye degree courses

Sasa tangu tar 15 a kitakua kulipia Mpesa iyo sh 50,000/= kupitia menu hii walioianisha kama ifuatavyo:
-*150*00#
-select option 4,pay via Mpesa
-select option 4,enter business number 240027
-enter payment reference number 123456
-enter amount 50,000/=
-enter your PIN
-enter 1 to confirm

Basi tukishafuata maelezo hayo unapoziingiza izo namba kwenye Mpesa unapata message isemayo

"NDUGU MTEJA TUNA TATIZO LA KIMTANDAO KWASASA TAFADHALI JARIBU TENA BAADAE"

Tangu iyo tar 15.7.2015 mpaka sasa..tumeshawapigia voda mara nyingi tu wanasema tatizo liko kwa watu wa nacte na nacte nao ukiwapigia wanasema tatizo liko kwa watu wa voda

Kwa mwenye ufahamu tafadhali atusaidie au kama kuna nilipokosea nifahamisheni

Muda Wameongeza mpaka tar 2.august
 
Ngoja waje wanataaluma kutupa muongozo kamili
 
Wao ni Nacte, nilikwenda Nacte ofcn kwao wametoa maelekezo kuwa ni kumbukumbu number ni 607070
 
Nenda Max Malipo Mimi Niliwatumia Kwa Kupitia Max Malipo Nikapenda Code Zangu Nisha Maliza Hayo Maswala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…