Ivi mtu unaona ugumu gan kusema ni wewe unatafuta kazi hadi useme ni ndugu yako,huyo ndugu yako yeye ni mdogo sana kias kwamba hawezi hata kuingia humu jf akaeleza shida yake?
We sema ni demu wako,ukificha ipo siku utakuja laumu watu, Ninavyofahamu waliosomea course hiyo wanaweza pia kufanya kazi ya kuwa WASEMAJI wa kampuni au organization. Je anaweza na yupo tayari ani-pm na cv.